Helo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu...