Mimi ni mlevi wa kutazama vipindi vya wanyama ila huyu mnyama simpendi

The silent smile

Senior Member
Joined
Jul 17, 2025
Posts
124
Reaction score
206
Helo JF!

Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.

Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    58.1 KB · Views: 29
Helo JF!

Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.

Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Hata yeye hakupendi!!!,,,msogelee uone atavyokugegeda!!!!
 
Helo JF!

Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.

Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Yupo huko Indonesia kwenye visiwa vya komodo,kule wanamtambua kama mamba wa ardhini
 
Helo JF!

Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.

Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Anaitwa Monotor Lizard
 
Nikajua nguruwe..!!
 
Kwenye kuuwa vibaya, si huyo tu, wanyama wawalao wanyama wenzao wote wanauwa vibaya...!! Fikiria jinsi mbwa mwitu wanavyomgawanaga swala akiwa ALIVE..!!
Sipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Kuna fisi na mbwa mwitu hao Huwa hawa subiri kuwa wao wakikamata windo wanaanza kula

Kutazama na kufatilia maisha ya wanyama ni somo zuri sana,
Napenda sana busara za Simba katika kuwinda
Ukiwaona mamba, fisi , mbwa mwitu, wolves, tai, wakila utaona kuwa kumbe wanyama jamii ya paka tu, chui,simba , duma ndio wanaokula wanyama kistaarabu....wanaua kabla ya kula ila wengine wanawala wakiwa hai
Fisi anamla nyati aliyekwama kwenye tope, anaanza kula pumbu taratibu
 
Kwenye kuuwa vibaya, si huyo tu, wanyama wawalao wanyama wenzao wote wanauwa vibaya...!! Fikiria jinsi mbwa mwitu wanavyomgawanaga swala akiwa ALIVE..!!
Simba huwa anaua kwanza ndio anakula at least yeye ila mbwa mwitu wao mda wa kuua kwanza hawana wanaanza kula utakufa ukitaka wakiamua wanaanza kula vya tumboni mpaka mnyama aje afe anakua kateseka sana.
 
Ukiwaona mamba, fish, mbwa mwitu, wolves, tai, wakila utaona kuwa kumbe wanyama jamii ya paka tu, chui,simba , duma ndio wanaokula wanyama kistaarabu....wanaua kabla ya kula ila wengine wanawala wakiwa hai
Fisi anamla nyati aliyekwama kwenye tope, anaanza kula pumbu taratibu
Haha anaanza na pumbu au sio.
 
Kuna fisi na mbwa mwitu hao Huwa hawa subiri kuwa wao wakikamata windo wanaanza kula

Kutazama na kufatilia maisha ya wanyama ni somo zuri sana,
Napenda sana busara za Simba katika kuwinda
Mkuu uingie kundi la mbwa mwitu a fisi? Ipi afadhali 😀
 
Helo JF!

Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.

Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Hata yeye hakupendi mkuu. Nimeona kwenye JF ya wanyama kaweka uzi wa kukuchukia
 
Back
Top Bottom