Mimi ni mlevi wa kutazama vipindi vya wanyama ila huyu mnyama simpendi

Helo JF!

Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.

Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Bahati nzuri

Bahati nzuri anapatikana nchini Indonesia peke yake
 
Back
Top Bottom