kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Yule single maza wako hajambo mkuu?Mimi napenda sana maisha ya Simba wanavyoishi kifamilia. Pia napenda zaidi jinsi Simba asivyopenda kulea watoto wa dume lingine.
Yule single maza wako hajambo mkuu?Mimi napenda sana maisha ya Simba wanavyoishi kifamilia. Pia napenda zaidi jinsi Simba asivyopenda kulea watoto wa dume lingine.
Itakuwa kama chatu anameza ili ashibe sidhani kama wanapata ladhaHIvi huwa wanahisi ladha ya kitu wanachokula, au wanakula tu, maana ukimuona anakula kitu huwa anakimeza kizima kizima, sasa ladha wanaipataje?i
Miamba wakuu sana kasongo na honey badger.Mfano wa hao wanyama tafadhali
wala ugoro hao wanatema mate mpaka ndani ya gari,mpaka kwenye ndege wanatema tu hawa ma master.Mbona kuna watu huwa wanatema mate kila wakat
HajamboYule single maza wako hajambo mkuu?
Nikusahihishe mapema mkuu.Black mamba hatari sanahuyu
Ana sumu koboko kasingiziwa yaani aking'ata nyati au ng'ombe kwenye kwato sekunde tano nyingi ataishiwa nguvu n kudondokaHelo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Sio kuwa mtu mzima nafikiri hii inakuwa kwenye damu tu. Mi nakumbuka tangu nipo shule ya msingi nilikuwa napenda mambo kama hayo.Watu tunaopenda channels za documentary kama hii NAT Geo wild Sisi ni gentlemen....ukiona unapenda Sana hizi channel ujue umeshakuwa MTU mzima, huwa watoto wangu wananiona Mimi ni mshamba nikiwa naangalia hizo channels
Ndege aitwaye Pelikane.Mfano wa hao wanyama tafadhali
Tuachie vitu vyetu mkuu 😃Haswa wanaobugia ugoro .... Wamasai na wajinga wajinga walio bobea kwenye ugoro😤😤😤🤣🤣🤪
Na sijui kwanini serikali isiuweke ugoro kuwa ni dawa ya kulevya?!
Ila hapo tafadhali muondoe kinyonga. Kinyonga ni docile, hapendi purukushani na zaidi ya yote; Kinyonga ni 100% harmless.Hata mimi simpendi,wengine ni fisi,kinyonga na konokono
Yaani huyu mimi namuogopa sana 😢Ila hapo tafadhali muondoe kinyonga. Kinyonga ni docile, hapendi purukushani na zaidi ya yote; Kinyonga ni 100% harmless. View attachment 3445564
Uweeh! Anang’ata uyo hakuachii na wapo wenye sumu pia wanapofua macho!😅Ila hapo tafadhali muondoe kinyonga. Kinyonga ni docile, hapendi purukushani na zaidi ya yote; Kinyonga ni 100% harmless. View attachment 3445564
Oi Maxence Melo ni kweli au anazingua?Hata yeye hakupendi mkuu. Nimeona kwenye JF ya wanyama kaweka uzi wa kukuchukia
Usimwogope bali itahidi kuwa na mazoea naye hadi utamzoea na kumwona ni rafiki - unaweza kumbeba,kumweka juu ya kichwa chako n.k. (ref picha ambatanishi) usitishike kwa ile " harsh hissing sound" ila jitahidi usimwumize au kumdhuru i.e. handle with care.Yaani huyu mimi namuogopa sana 😢
HAKIKA hang'ati kwani hana meno na wenye sumu hawapatikani hapa Tz na hakuna /sijaona documentary yoyote inayoelezea sumu kutoka kwa kinyonga.Uweeh! Anang’ata uyo hakuachii na wapo wenye sumu pia wanapofua macho!😅
Fisi yeye hataki mambo mengi anaona kuua ni kupoteza mudaSipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Kinyonga akihisi hatari anakung’ang’ania😂 wapole ila waone tu hivyo mi nawaogopa mno hao🫢HAKIKA hang'ati kwani hana meno na wenye sumu hawapatikani hapa Tz na hakuna /sijaona documentary yoyote inayoelezea sumu kutoka kwa kinyonga.