kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
ubongo wote anakuchomoa pitia ulimi wake huo anakua kabisa
Lakini ,hata kama humpendi hakufahamu kazi Bure mkuu
Lakini ,hata kama humpendi hakufahamu kazi Bure mkuu
Pia vitu vya baharini ukiambiwa barabara usiweke picha ya barabara zetu hizi za lami na changarawe au misitu basi ukajua ni mamiti makubwa yenye mzizi ya kutisha la hasha vinakua vimekaa kibahari bahari,Ni kweli baharini Kuna viumbe wakubwa zaidi Nyangumi na kasa ambao wao ni animalia huzaa na kunyonyesha hawatagi kama samaki wengine.
Ila kwamba Kuna barabara na milima mirefu huo ni uongo mkuu
Hapo kwenye urefu kuliko ya duniani kweli katudanganya but milima ipo baharini.Ila kwamba Kuna barabara na milima mirefu huo ni uongo
Kuna huyu,kenge,nyoka na mamba dah Hawa siwapendi kinoma.Helo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
hahhahahHelo JF!

Dah na vile vimkono vyake anakushika taratibu unashtukia amening'inia begani huku anarembua, kwa tumdada kama shibela kelele zake hapo zimamoto watakuja.Ila hapo tafadhali muondoe kinyonga. Kinyonga ni docile, hapendi purukushani na zaidi ya yote; Kinyonga ni 100% harmless. View attachment 3445564
Mpaka wawe wengi Mamba ni tatizoHivi simba wakimkuta mamba nchi kavu wanaweza kumkalisha?,
Mimi simwogopi kinyonga,mbaya wangu nyoka,jamani nyoka kukutana nae Tu kisanga sembuse anidondokee begani 🤓🤓🤓🤓🤓Dah na vile vimkono vyake anakushika taratibu unashtukia amening'inia begani huku anarembua, kwa tumdada kama shibela kelele zake hapo zimamoto watakuja.
kwenye sura mbaya aisee sijawahi kuelewa sura ya KIBOKO ipo kwenye shep gani...sasa utafurah akitanua mdomo.Helo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Elimu haina mwisho ila nimeishi maeneo ya bahari kiasi fulaniKajisomee zaidi usifungwe fungwe, unafahamu seamounts? nenda kajisomee kuhusu mlima Mauna Kea, misitu umekubali pia ipo? taarifa zote zipo kiganjani mwako tena mmerahisishiwa kuna akili mnemba unauliza tu kwa lugha yako unashushiwa nondo zote.
Wana maana ndani ya bahari kwenye kina kirefu, na sio pembezoni au pale ninyi watu wa kawaid msio na vifaa mwaweza kwenda.Elimu haina mwisho ila nimeishi maeneo ya bahari kiasi fulani
Misitu niliyoiona ni mikoko
Ngoja nitajibidisha kujielimisha
Hahaahh kwahyo mkuu unaweza kupeana mkono na kinyonga bila wasiwasi.Mimi simwogopi kinyonga,mbaya wangu nyoka,jamani nyoka kukutana nae Tu kisanga sembuse anidondokee begani 🤓🤓🤓🤓🤓
Kinyonga ana mikono?
Kwahyo hicho hapo pichani ni kijiko?.Kinyonga ana mikono?
Chenga kweli wewe,hujui wadudu Wana miguu minne?Kwahyo hicho hapo pichani ni kijiko?.
Wadudu = Insects. Wanayo miguu zaidi ya 4 e.g. nzige anayo 6, nge 8, tandu anayo zaidi ya 30Chenga kweli wewe,hujui wadudu Wana miguu minne?
Nyati hakupambana ?Huyu mwamba nilimshuhudia ana mla nyati,kwa alimng'ata kumpiga paralysis nyati alipodondoka tu likamvamia,huyu mbuzi anamtafuta faster