The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
- Thread starter
- #101
Yaan hadi hurumaMnyama analiwa akiwa anajiona live
Yaan hadi hurumaMnyama analiwa akiwa anajiona live
Kwahiyo unataka kusema hao watu na huyu mdudu ni Kingdom moja yaani "Kingdom Kengelia"?🤔Mbona kuna watu huwa wanatema mate kila wakat
😂😂😂😂Mimi napenda sana maisha ya Simba wanavyoishi kifamilia. Pia napenda zaidi jinsi Simba asivyopenda kulea watoto wa dume lingine.
Mbwa mwitu asee wanaishi kifamilia na wana nidhamu sana, na pia wan mbinu za uwindaji, wakishapiga hesabu zao hawakosei.Fisi na mbwa mwitu nao wana protocal kali, sema kwa macho ya kawaida huwezi kuwaona
Wanaishi kwenye makundi na wakati wa kuwinda au kula kuna utaratibu wanajiwekea, sio wanakula tu hovyo
Ana sumu koboko kasingiziwa yaani aking'ata nyati au ng'ombe kwenye kwato sekunde tano nyingi ataishiwa nguvu n kudondoka
Wasukuma wangese sana,wakitaka kula wanasukutua halafu wanatema pembeni hapohapo mlipozunguka msosi,wakimaliza wanasukutua tena wanatema hapohapoWasukuma na Wamasai
Fisi ana tamaa sana jamaa, yaan wao kuhusu msosi utawaua ila hawaezi kubali predator mwengne ale mbele yao. Kuna moja hiyo kuna kiboko alikuwa Kasizi kwenye maji kwa muda mrefu, fisi siwakajua kuwa ameshakufa ni mzoga, wakachomoka wawili wakaanza kupiga mbizi kuusogelea, kufika wanamnusanusa sindo kiboko anashtuka, akawageukia... Aweee fisi acha wapige mbizi kurudi nchi kavu huku kiboko naye anakuja katanua domo lake🤣 fisi wakigeuka wakiangalia lile domo nguvu za kuogelea zinaongezeka🤣, hadi wanafanikiwa kutoka pale mimi mbavu sina maana ni kama walikuwa wanawatukana wenzao kuwa "simlisema kafa, au mlitaka tukafe sisi?"🤣🤣Fisi yeye hataki mambo mengi anaona kuua ni kupoteza muda
Sijawai kuona mnyama mwenyewe dharau kumzidi paka na myama mwenye roho mbaya kama mamba Simba na ubabe wake wote kwa mamba huwa anaombapo nafikiri Simba angekua naongea ukamuuliza ni mnyama gani umpendi lazima jibu litakua mamba crocodileKenge
Ingawaje anasura personal na mwendo wa kutisha lakini ana sifa njema;
1. Anapenda Utulivu na mara nyingi ni introvert
2. Hula wadudu na majani.
3. Anapenda amani na hana rabsha.
Popo
Hana mvuto lakini
1. Anaishi kifamilia na wanapenda kushirikiana wao kwa wao.
2. Hula wadudu hatarishi kwa binadamu kama Mbu.
3. Sio wakorofi wala wachokozi kwa viumbe wengine
Hii ni Tofauti na PAKA
Anavutia na sura nzuri lakini
1. Ana pride
2. Sio mtiifu
3. Ana kiburi
4. Ni mdokozi tofauti na Mbwa.
5. Ni msaliti
Sawa, baharini napo kuna mambo sana.Ukipata muda angalia whales and sharks, especially Orcas or killer whales
Napenda sana maisha ya baharini, hua naamini bahari ni ulimwengu mwingine kabisa, sichoki kuisikia bahari na visa vyakeSawa, baharini napo kuna mambo sana.
Eeh huyo huyo.😀😀 Sloth si ndo the slowest animal on earth?
Wanasema baharini kuna viumbe hai wengi kuliko nchi kavu, pia kuna viumbe wakubwa kuliko wa nchi kavu, hata uzuri piaNapenda sana maisha ya baharini, hua naamini bahari ni ulimwengu mwingine kabisa, sichoki kuisikia bahari na visa vyake
Binafsi huwa nikikutanaga na makala za baharini hata mbu wakiniuma sisikii, 😄Napenda sana maisha ya baharini, hua naamini bahari ni ulimwengu mwingine kabisa, sichoki kuisikia bahari na visa vyake
Hivi simba wakimkuta mamba nchi kavu wanaweza kumkalisha?,Sijawai kuona mnyama mwenyewe dharau kumzidi paka na myama mwenye roho mbaya kama mamba Simba na ubabe wake wote kwa mamba huwa anaombapo nafikiri Simba angekua naongea ukamuuliza ni mnyama gani umpendi lazima jibu litakua mamba crocodile
Ni kweli, kuna milima mirefu kuliko hata ya duniani, kuna barabara, kuna misitu na misitu minene, kuna sehemu hakuna oxygen na kuna viumbe wanaishi, kitu kinachonivutia zaidi ni kua wanasayansi wameisoma na kuijua bahari kwa asilimia chache sanaa, hua nasisimka sana nikipata habari za bahariniWanasema baharini kuna viumbe hai wengi kuliko nchi kavu, pia kuna viumbe wakubwa kuliko wa nchi kavu, hata uzuri pia
Ni kweli baharini Kuna viumbe wakubwa zaidi Nyangumi na kasa ambao wao ni animalia huzaa na kunyonyesha hawatagi kama samaki wengine.Ni kweli, kuna milima mirefu kuliko hata ya duniani, kuna barabara, kuna misitu na misitu minene, kuna sehemu hakuna oxygen na kuna viumbe wanaishi, kitu kinachonivutia zaidi ni kua wanasayansi wameisoma na kuijua bahari kwa asilimia chache sanaa, hua nasisimka sana nikipata habari za baharini
Kajisomee zaidi usifungwe fungwe, unafahamu seamounts? nenda kajisomee kuhusu mlima Mauna Kea, misitu umekubali pia ipo? taarifa zote zipo kiganjani mwako tena mmerahisishiwa kuna akili mnemba unauliza tu kwa lugha yako unashushiwa nondo zote.Ni kweli baharini Kuna viumbe wakubwa zaidi Nyangumi na kasa ambao wao ni animalia huzaa na kunyonyesha hawatagi kama samaki wengine.
Ila kwamba Kuna barabara na milima mirefu huo ni uongo mkuu