kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Yaani hata kumwona sitaki kabisaUsimwogope bali itahidi kuwa na mazoea naye hadi utamzoea na kumwona ni rafiki - unaweza kumbeba,kumweka juu ya kichwa chako n.k. (ref picha ambatanishi) usitishike kwa ile " harsh hissing sound" ila jitahidi usimwumize au kumdhuru i.e. handle with care.
na unga wote hauliki tena. Nyau anajisaidia uvunguni mwa kitanda chumba chote kinakuwa na badiliko la hewa fulani hv "amazing".