Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
KengeMfano wa hao wanyama tafadhali
Ingawaje anasura personal na mwendo wa kutisha lakini ana sifa njema;
1. Anapenda Utulivu na mara nyingi ni introvert
2. Hula wadudu na majani.
3. Anapenda amani na hana rabsha.
Popo
Hana mvuto lakini
1. Anaishi kifamilia na wanapenda kushirikiana wao kwa wao.
2. Hula wadudu hatarishi kwa binadamu kama Mbu.
3. Sio wakorofi wala wachokozi kwa viumbe wengine
Hii ni Tofauti na PAKA
Anavutia na sura nzuri lakini
1. Ana pride
2. Sio mtiifu
3. Ana kiburi
4. Ni mdokozi tofauti na Mbwa.
5. Ni msaliti