Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa.
Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
LISSU STUKA!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe.
Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_
Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja.
Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR,
#WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake.
Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye uchaguzi na jinsi anavyoratibu uchaguzi bila kusahau anavyoweza kujibu hoja zinazoelezwa ofisini...
Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
Ndugu zangu Watanzania,
Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha...
TANGAZO LA JOHN MNYIKA
Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli...
Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana.
Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika.
Huyu ni mtu...
Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua chama tangu chuoni. Mbowe awe mlezi wa chama kama alivyo Mtei.
Wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mbowe , Mnyika na Wenje walihamasisha CHADEMA ishiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na wengi kuona kasoro zilizokuwepo za uchaguzi kusimamia na TAMISEMI.
Mwenyekiti Mbowe ndio akaja na kuweka maamuzi ya kwba CHADEMA itashiriki uchaguzi wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024.
Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za uwepo wa mazingira ya Rushwa na kukosekana kwa Uadilifu, amesema:
“Kuhusu tuhuma ambazo Makamu...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam.
Fuatilia live mazungumzo yake hapa
https://www.youtube.com/live/toK4jk5NCAo?si=heoTafP2I9zGwBWT
CHADEMA yatoa tamko la Uchaguzi wa Kitaifa kwa mwaka 2024...
Kesho saa 5 asubuhi, katibu wa CDM atakua na press kikubwa atachozungumzia ni kutangaza tarehe ya uchaguzi na mambo yanayohusiana na uchaguzi wa ndani ya CDM. Watia nia wote nishapata pdf yake kuanzia BAVICHA taifa hadi chama taifa. Ahsanteni!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.