mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa...
  2. J

    Kwanini Mnyika hawaandikii barua wabunge wa Chadema kuwaelezea hatua zilizochukuliwa na Kamati Kuu dhidi yao?

    Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu. Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya...
  3. J

    Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

    Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo. Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika...
  4. J

    Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno. Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh. John J. Mnyika. ————— UPDATES ————— Akitolea maamuzi hayo, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
  5. Erythrocyte

    Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  6. J

    Mnyika akiisimamia vizuri ruzuku ya chama na michango ya wabunge CHADEMA wanaweza kuimarika tena

    Kama tujuavyo Chadema iliweza kuimarika sana baada ya ujio wa mzee Lowassa na rafiki zake katika chama hicho. Lakini mara baada ya mzee Lowassa kuamua kurejea CCM na kundi lake Chadema wameanza kudhoofu na amkani hali si shwari. Ujio wa kiongozi kijana J J Mnyika kama katibu mkuu mpya inaweza...
  7. Erythrocyte

    CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  8. Mwanahabari Huru

    Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam. Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna...
  9. Erythrocyte

    John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

    Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
  10. Mzito Kabwela

    Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
  11. Erythrocyte

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

    Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema: "Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
  12. J

    Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afiwa na baba yake mdogo huko Misungwi mkoani Mwanza

    Mahakama ya Kisutu jana ilielezwa kuwa mshtakiwa JJ Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA ameshindwa kuhudhuria kesi baada ya kufiwa na baba yake mdogo huko Misungwi mkoani Mwanza. Mazishi yalifanyika jana. Mungu ampumzishe kwa amani Source: Star Tv
  13. Erythrocyte

    Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chadema Mh Mnyika yatikisa Kibamba, awaasa wanahabari kupigania Tume huru ya uchaguzi, Kabendera na Magoti watajwa

    Hii hapa video unaweza kuitazama mwenyewe, lakini kwa wasio na bando, Mh Mnyika leo amefika kwa mara ya kwanza kwenye jimbo analoliwakilisha la Kibamba tangu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu na kupokelewa kwa kishindo na wapiga kura wake ambapo wamempongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu...
  14. J

    Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

    Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom