Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA zimeahirishwa.
Mnyika amesema tangazo hilo ni fake na kutaka lipuuzwe.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 14, aneongea na waandishi wa habari na kuwajulisha kuhusu hali ya kuenguliwa kwa wagombea wao kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge na Udiwani.
Mnyika amesema kuwa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ambavyo Chadema inavyo ndani ya tume, mchezo ambao tume inafanya ni wa...
Wanajamvi,
Tunao wanasiasa ambao ukiwaangalia unaona kitu ndani yao. Binafsi, namuona John Mnyika Kama mwanasiasa wa upinzani asie na mawaa. I stand to be corrected.
Hatahivyo, Mnyika kwasasa hayuko sehemu sahihi. Pamoja na kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA bado kwa jicho la ndani namuona John akiwa...
Scenario 1: Lissu ameshinda Urais wa Tanzania. Anaunda Serikali. CCM ina wingi wa Wabunge. Inatoa Waziri Mkuu na Mawaziri wengi. Serikali ya Lissu itapelekeshwa na chama chetu tutakavyo na kukistawisha chama kuelekea 2025. CCM itashinda kwa kishindo mwaka 2025.
Scenario 2: Lissu hashindi...
Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo.
Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni...
Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika
Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo...
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho.
Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au...
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.
Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?
Maendeleo hayana vyama
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama...
Mnyika naomba usikubali watu walioshindwa kuitoa CCM madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta CCM.
Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni, Bila kumsahau, Lipumba na Zitto kabwe na Maalimu Seif.
Tanzania Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo Wananchi niwawakilishi tu...
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .
Hakuna...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020
Chanzo:John Mnyika on twitter.
Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi...
Akiongea na CHADEMA TV katibu mkuu wa chadema amekosoa vikali rasmu mpya ya uchaguzi iliyotolea kwa kuwa na mapungufu mengi ambayo hutakiwi kuyahoji bali tulitakiwa kusaini tu, na usiposaini hatutaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu msikilize
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.
Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.