mo dewji

  1. Mbabani

    Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

    Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC. Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI. Credit: Nassib Mkomwa
  2. GENTAMYCINE

    Mwambieni Chama wenu aache kumsumbua tajiri Mo Dewji kwa kumpigia simu na kumuomba aje amalizie mpira Simba SC

    Siku ya Jumatatu Mo alivyotua tu kutoka Dubai anakoishi sana Chama anamsumbua tu hadi Mo kukereka. Abaki Yanga SC.
  3. Waufukweni

    Mo Dewji aahidi TSh. milioni 785 endapo Simba wataifunga Yanga

    Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha...
  4. Waufukweni

    Jerry Muro: Mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga

    Wakuu "Mimi ni nabii nilishawaambia watu kwamba Haji atakuja Yanga siku moja na kweli Haji Manara amekuja Yanga, mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga."
  5. SAYVILLE

    Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

    Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji. Tajiri, nina neno moja kwako. Msimu huu umefanya mambo makubwa sana pale Simba. Kikosi kinaeleweka, heshima inarudi katika ligi ya ndani na kimataifa. Kuna uhuni mmoja ambao nafahamu unaujua maana malalamiko haya yamekuwepo kwa...
  6. W

    Mo Dewji adukuliwa, Unajilindaje ukidukuliwa?

    Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga. Hayo yanakuja kufuatia tangazo la mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, lililotolea leo Februari 6, akiwaomba radhi wasomaji wake...
  7. Davidmmarista

    Akaunti ya X ya Mohammed Dewji Yadukuliwa, Watumiaji Waonywa Kutoifungua Link Zinazotumwa

    Leo, Februari 5, 2025, majira ya saa 10 jioni, akaunti ya X ya mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji (@moodewji) imeripotiwa kudukuliwa. Wadukuzi wameweza kuchapisha ujumbe wenye kiungo kinachodaiwa kuwa na madhara kwa watumiaji. Inashauriwa kwa nguvu zote kutojibu wala kufungua kiungo...
  8. Nehemia Kilave

    Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  9. Mad Max

    Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

    Nimekutana na interview moja YT, billionaire Mo akifanyiwa na YouTuber (@AhmadMaamoud Show) ambapo Mo amesema alinunua Bugatti Chiron (hajataja model year) kwa $ Mil 4 lakini alivyoenda kuicheki akaogopa speed akaiuza na anasema akapata faida ya € 500,000. Pesa aliyouza faida yake akanunua...
  10. A

    Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

    Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano ni hizi +255 780 525 780 tuwe makini na tuwaripoti iwezekanavyo___ MO DEWJI FOUNDATION ipo ndio...
  11. Kazanazo

    Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

    Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna. Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla. Wakuu, kwa...
  12. Boss la DP World

    Laana za kocha Mgunda zimeanza kututafuna.Tajiri mwenzangu Mo tafadhali omba radhi

    Huyu kocha Juma Mgunda ameitendea mengi timu yetu lakini huwa tunamtreat vibaya mno. Juzikati tumemfukuza kazi, na leo ameanza makeke. Tukienda mkwakwani tunakula 2-0. Hongera sana Camara, kipa la NBCPL. Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
  13. Manyanza

    Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

    Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya mpira wa miguu barani Afrika. Kutajwa kwa Mo kumetokana uwekezaji na mafanikio ambayo Simba imeyapata...
  14. Manyanza

    Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

  15. Busybee Chimata

    Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

    Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi. Baada...
  16. Waufukweni

    PICHA: MO Dewji na Mangungu washikana mikono kwa mara ya kwanza

    Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono. Soma Pia: Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
  17. King Leon 1

    Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

    Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
  18. King Leon 1

    Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  19. King Leon 1

    Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  20. William Mshumbusi

    Nimeukubali usajili wa Mo Dewji. Mgunda Unampa timu leo asubuhi Jioni anakupa matokeo. Record Fadlu haitaji muda.

    Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda. Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi...
Back
Top Bottom