mo dewji

  1. Artifact Collector

    Mo Dewji toa billion 20 ambazo zipo kimkataba, acha kutengeneza mazingira ya kuonewa huruma na ujanja ujanja

    Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika...
  2. chakii

    Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji. Dkt. Bashiru amaema“Naona Hamis Kigwangalla...
  3. GENTAMYCINE

    Natabiri mapema tu hapa kuwa Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM Sports Arena cha Jumatatu 7 Septemba 2020 Mada Kuu itakuwa Kigangwala na Mo Dewji pekee

    Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa...
  4. Ghazwat

    MO Dewji akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino, amkabidhi jezi ya Simba SC

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika. Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
  5. Rajab_Omar

    Kwanini Mashabiki wa Yanga ndiyo Wanaoogoza kulalamikia Simba kudhulumiwa na Mo Dewji?

    Nimegundua kuwa kila ninapokutia Malalamiko dhidi ya Mo Dewji basi Mlalamikaji ni Mashabiki wa Yanga na sio Simba! Je Yanga amekuwa na huruma kwa kumtetea Simba dhidi ya kile wanachodai ni Utapeli wa MO? Au wanachotaka MO aondoke ili sisi Simba tufanane na Wao kwenye kuomba? Mashabiki Utopolo...
  6. Suley2019

    Mwanza: Watano mbaroni kwa utapeli wa kutumia majina ya Taasisi za Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation

    Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii. Wakisoma...
  7. Miss Zomboko

    Mo Dewji aanzisha petition ya kumuomba Rais Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Anaandika Mo Dewji:-Leo nimeamua kuanzisha petition (maombi) kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa. Amesema Itakuwa ni heshima kubwa kama uwanja wetu pendwa utaitwa jina la Uwanja wa...
  8. WilsonKaisary

    Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

    Sikutegemea katika hali Kama hii ya janga la Corona wale wenye Unafuu kwenye jamii yetu kufanya Biashara katika taharuki Kama hii. Nasikia hiki kitakasa Mikono Cha Mo Dewji anaviuza, sina shada naye kwa kuwa ni mfanyabiashara ameona hii ni Fursa. Matajiri wenzake wanafanyaje duniani? 1. Jack...
  9. beth

    Dangote aongoza kwa utajiri Afrika, Mo Dewji ashika nafasi ya 16

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji (Mo) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 20 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2020 licha ya utajiri wake kupungua kwa Dola milioni 300 (Sh692.67 bilioni). Katika orodha hiyo ya jarida mashuhuri la Forbes kwa mwaka huu limemtaja Mo mwenye miaka 44 kama...
  10. Erythrocyte

    MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

    Ni kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu? Nakala : OKWI BOBAN SUNZU
  11. venance7

    Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

    Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu. ====== UPDATES: ======== Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa...
  12. Suley2019

    Kesi kutekwa MO Dewji yaahirishwa mpaka Januari 21

    Kesi hiyo ilitajwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashid Chaungu baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi, aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo kwenda likizo. Wakili wa Serikali, Faraji Nguka, alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo aliiomba mahakama kupanga tarehe...
  13. maroon7

    Niwe bilionea kama Mo Dewji? Bongo stand up comedy

  14. R

    Afisa mauzo wa METL (Mo Dewji) pale Liberty, Mwanza ni janga

    Huyu Afisa Mauzo wa METL pale Liberty Mwanza ni hovyo kabisa. Asubuhi wateja wakienda kununua mzigo unamkuta anavuta sigara na kutafuna ugoro, anamajibu ya hovyo hovyo tu kwa wateja na kiburi juu, bahati yao hakuna sehemu nyingine ya kupatia mzigo tungeshawahama. Ujumbe huu uwafikie wahusika wa...
  15. F

    Sijafurahishwa na usomaji magazeti wa Maulid Kitenge kuhusu Mo Dewji

    Maulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza. Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.
  16. Nyani Ngabu

    Tanzania billionaire Mohammed Dewji told kidnapper to shoot him

    Tanzania billionaire Mohammed Dewji told kidnapper to shoot him Tanzanian billionaire Mohammed Dewji has said that he asked his kidnapper to shoot him six days into being held captive. His abduction, 12 months ago, outside a hotel gym in the country's main city, Dar es Salaam, sparked a huge...
  17. kimbendengu

    Mo dewji

    Jamani nahitaji kupata mkopo kwa huyu bilionea Mohammed Dewji kama kuna kuna mdau yeyote aliyewahi kukopa kwenye kampuni ya huyu bilionea naomba mwongozo wake Asante
  18. Mtyela Kasanda

    Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

    Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina Kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents". Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina Hans Pope za usajili wa makelele mengi...
  19. tutafikatu

    Hivi visomo huwa vinasaidia?

    Mara nyingi nimeona matukio kadhaa ya watu kutishiwa kufanyiwa KISOMO. Juzi wamefanyiwa KISOMO waliomteka MO, lakini mpaka sasa hawajapatikana. Huwa najiuliza hiki KISOMO kimeshawahi mvua nguo mtu?
  20. M

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES: Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji)...
Back
Top Bottom