mo dewji

  1. GENTAMYCINE

    Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

    Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi. Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa. Kayakanyaga hivyo...
  2. Joseverest

    Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

    Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya Simba Kuwa nami hapa kwa updates/kinachoendelea -------------------------------------------- Ameanza...
  3. B

    Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  4. kavulata

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma na watu wasihoji chochote kwakuwa anatoa pesa. Yaani asiwepo mtu anayehoji kwakuwa timu inaleta...
  5. Ramon Abbas

    Ni sahihi ofisi binafsi ya Mo kuhifadhi makombe yaliotwaliwa na simba kwenye ofisi yake binfasi?

    Muhindi mtu mbaya sana. Afadhali ya Mchina.
  6. A

    Ilikua lazima Mo Dewji aweke bilioni 20 baada ya Azam kutoa mkataba mnono Yanga

    Habari Wana michezo poleni wanachama wenye team yenu sababu mnaponzwa na mashabiki Kwan wao wanacho taka ni furaha tu Leo Mo katangaza kuweka Ile B20 ya hisa 49 kitu ambacho asinge fanya kama yanga wasinge Pata dili nono Tena Mara mbil ya pesa anayo Lipa Mo-Dewji kwa kumiliki hisa 49 milele uku...
  7. Justine Marack

    Mo Dewji tuachie timu yetu

    Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri. Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake. Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini. Haji...
  8. M

    Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  9. mugah di matheo

    Dar: Mahakama ya Kisutu yamfutia kesi na kumwachia huru dereva aliyetuhumia kumteka Mo Dewji

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji almaarufu ‘Mo Dewji’. Twaleb alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Mei 28, 2019...
  10. hiram

    ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

    Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
  11. Suley2019

    Mo Dewji akutana na kuteta na kocha Gomes

    SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na Yanga bado kimewavuruga mabosi wa klabu hiyo. Simba leo itavaana na Coastal Union ikihitaji pointi moja...
  12. Orketeemi

    Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini. Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi... 1. Said Salim Bakhressa 2. Said Salim Bakhressa 3. Said Salim Bakhressa 4. Said...
  13. Megalodon

    Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

    Ujanja Ujanja kwa maana nyingine ni UTAPELI. Hongereni sana Timu ya Wananchi, Dar Young Africans kwa kuvunja MKATABA wa Ndugu Djuma Shaaban na kumleta Jangwani. Hii ndiyo maana halisi ya uwekezaji. Kununua watu ambao wanakuja kufanya kazi straightaway na sio kujifunza kazi kama zile za kina...
  14. GENTAMYCINE

    Kama hili ni kweli na siyo Uzushi tu nitaanza kumdharau Mo Dewji na Watendaji wake wa Simba SC wanaomzunguka

    Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari na kila Goli watakalofunga litanunuliwa kwa Tsh 260 Milioni? Hizi Ahadi ndizo zitafanya Mabeki wa...
  15. N

    Hizi ndo dharau ambazo hatupendi Wanasimba: Mo Dewji kaaa mbali na picha za Zimbwe

    Nilijua tu mwisho wa yote watajinasibu kwamba wao ndiyo wamefanikisha sasa ikitokea Mo kapiga naye huyo kijana wao niseme boss wao anayewapa hela yaani Mohamed Hussein Zimbwe Junior captain msaidizi aliyeamua yeye na wapambe wake kutumia vurugu na lugha za maudhi ili kuongezewa mkataba. Please...
  16. N

    Pamoja na Zimbwe kusaini mkataba, Mo Dewji usimuite kunywa naye chai

    Mojawapo ya madai ya yule meneja muhuni Herry Mzozo ni kwamba Zimbwe jr hajawahi kualikwa ofisini kwa Mo dewji kupiga naye picha Najua simba mlikuwa kwenye utaratibu wa kumuongezea mkataba ila kwa kilichotokea inaonekana kwamba team ime bow kwa pressure ya meneja muhuni na shaffih dauda...
  17. J

    Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  18. Last Seen

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Asante Mo Dewji kwa kufanyia kazi maoni yangu kuhusu Sportspesa

    Ndoto yetu ni Simba Sc iwe club yenye mapato makubwa ili iweze kufanya ushindani katika usajili
  20. J

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji siyo rafiki yangu tena atabaki kuwa jamaa tu, hajasababisha nipoteze Uwaziri

    Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles. Akizungumza na Salama Jabir wa Eatv Dkt. Kigwangalla amesema baada ya mzozo wa mkopo wa pikipiki Mo Dewji alimpigia...
Back
Top Bottom