Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga.
Hayo yanakuja kufuatia tangazo la mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, lililotolea leo Februari 6, akiwaomba radhi wasomaji wake...