"Uongozi uliokubalika utapiganiwa na watu wenyewe wala hauna haja ya kuhamasisha watu wakakupigania, ukiona kikundi kidogo cha watu wanaweza kuleta taharuki kama mnavyosema kinaweza kuleta vurugu kuteka nchi ujue kuna tatizo kubwa zaidi lazima turudi nyuma tuangalie tutathmini"- Amesema Mohamed...
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amesema kwa hali ambayo nchi imefikia inatia hofu hata watu wanapofiwa na ndugu yao wanashindwa kuomboleza au kutoa pole wa sababu ya uoga, ambapo hata yeye anapewa onyo kuwa makini
"Tunaishi kwenye mazingira ambayo mtu ndugu yenu mzazi wenu ameuawa...
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amezungumza kuhusiana na ufuatiliaji na uchunguzi kuhusu kifo cha Baba yake (Mzee Ali Kibao) kilichotokea September 2024 baada ya kuchukuliwa na wasiojulikana wakati akisafiri kicha mwili wake kupatikana akiwa ameaga dunia
Mohamed ameeleza kuwa ni...
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K
https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk
Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa
Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
TAARIFA YA ROSTAM AZIZI KUFUATIA MAUAJI YA KIONGOZI WA KISIASA
Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Ndugu...