Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amesema kwa hali ambayo nchi imefikia inatia hofu hata watu wanapofiwa na ndugu yao wanashindwa kuomboleza au kutoa pole wa sababu ya uoga, ambapo hata yeye anapewa onyo kuwa makini
"Tunaishi kwenye mazingira ambayo mtu ndugu yenu mzazi wenu ameuawa ndugu au marafii wanaogopa hata ukupa pole, mpaka sasa kila siku napata maonyo mwambieni kaka yenu au ujumbe moja kwa moja niwe makini nimefanya kosa gani?"- Amesema Mohamed Ali Kibao