Mohamed Ali Kibao: Napewa onyo kuwa makini, nimefanya kosa gani?

Mohamed Ali Kibao: Napewa onyo kuwa makini, nimefanya kosa gani?

Bado vyombo vya usalama vinachunguza ni nani alimuua Baba yako, maana hakua threat kwa serekali wengi walimfahamu baada ya kuuwawa , sasa kama hakua threat kwa serekali kwanini auwawe na serekali acha uchunguzi uendelee siyo ajabu hata haohao watu wa chama chake cha chadema wakatekeleza mauaji kwa wanachama wake ili kuchonganisha serekali na wananchi.

Kesi za mauaji siyo rahisi huko USA kuna kesi zimechunguzwa na ukweli ukaja kujulikana baada ya miaka 20 inategemeana na huyo muhalifu alijipanga vipi.
Wahalifu wamefanya uhalifu waziwazi halafu wewe unauliza kujipanga vp? Hiyo kesi ni katika zile kesi za wasiojulikana kwa maana ni kundi la watu ambao wanateka na kuuwa ila hawawezi kukamatwa.
 
Wanakuulia mzee, bado wanashika simu na kukupigia kukutishia, achane unyonge
 
Back
Top Bottom