Mambo yanazidi kupamba moto.
============
Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja.
"Kama kuwatetea vijana wetu kupata ajira ndio chanzo na kero ya muungano kwamba eti tunahatarisha...