Mbunge Mohamed Ali: Kama kuwatetea vijana wa Zanzibar kutavunja Muungano basi acha uvunjike

Mbunge Mohamed Ali: Kama kuwatetea vijana wa Zanzibar kutavunja Muungano basi acha uvunjike

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mambo yanazidi kupamba moto.
============
Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja.

"Kama kuwatetea vijana wetu kupata ajira ndio chanzo na kero ya muungano kwamba eti tunahatarisha muungano uvunjike. Basi mimi kama mwakilishi wa jimbo la ziwani naendelea kutetea na kuwaombea vijana ajira na kama hii ndio sababu ya kuvunjika muungano wacha uvunjike."

"Sisi tunasema utalii si mali ya muungano. Usafiri si mali ya muungano lakini kilimo si mali ya muungano. Sasa kuama tunaomba ajira katika taasisi hizo alafu tunaambiwa tunawabagua eti tunasababisha kuvunjika... kwa muungano ama kwa hili muungano na uvunjike.

Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
 

View: https://youtu.be/SWXZqlkANr4?si=ExAtab5S3-zEbeHQ
Ni bora uvunjike..

Wazanzibari ndio walioua maelfu ya ndugu zetu Watanganyika tarehe 29/10 ili kumweka Mzanzibari mwenzao Samia Suluhu Hassan kwenye ikulu ya Tanganyika..

Mimi nataka uvunjike leo na sio kesho...

Tunaitaka Tanganyika yetu...

Wachukue na waende kwao Zanzibar....!!
 
Ni bora uvunjike..

Wazanzibari ndio walioua maelfu ya ndugu zetu Watanganyika tarehe 29/10 ili kumweka Mzanzibari mwenzao Samia Suluhu Hassan kwenye ikulu ya Tanganyika..

Mimi nataka uvunjike leo na sio kesho...

Tunaitaka Tanganyika yetu...

Wachukue na waende kwao Zanzibar...
Tupunguzeni hasira Wazee mmeshika kwenye makali muda huu msisahau hilo
 
Hiyo janja janja tu, huu muungano kama ungekuwa kati ya Pemba na Unguja washauvunja siku nyingi. Mana hawa jamaa hawapendi kelele na vigele gele. Wanakisanua kila mtu anapita kule, wapemba wanaenda kutafutaga maisha Mombasa
 
Back
Top Bottom