Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Umenikumbusha Denzel
Nchi imetulia chokochoko wanaanza wao kwa visingizio vya kijinga jinga vya ajila eti kutetea vijana wazanzibar ambao wenyewe siyo watendaji kazi wazuri wa kazi ni wavivu sana ndiyo maana soko la ajila huwapita nyumaMambo yanazidi kupamba moto.
============
Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja.
View attachment 3610111
Tanganyika ina rasilimali nyingi ina kila kitu kujipanga kupi huko kwa Zanzibar?Wazanzibar washajipanga
Tatizo kubwa kwa Zanzibar ni Aina ya wabunge waliokuwa nao huko, wabunge baadhi IQ zao zipo chini sana ni wajinga wajinga ndiyo maana badala ya kujadili maendeleo wao huongea ujinga kisha kuchomekea muungano ili wapate umaarufu ama wakizani ni njia ya kupata uwaziri,Washukuru hizi fadhila wanalishwa bure tu.
Mwinyi na dadaake wanasimamia mkae sawa.
Nyinyi ukifa huo muungano sijui mtafanyaje,hata hicho kikao mnakaa bila kugaiwa hela ya mikopo mngekua hoi chakali.
Pumbavu sana.
Nchi ndogo kuwa na utitiri wa wabunge hupelekea wabunge kuwa wajinga jinga na kutoa kauli za kijinga jinga pasipo kutafakari, ni wakati Zanzibar ipunguze majimbo ya ubunge kuwepo na wabunge wachache smart wenye Akili za maendeleo siyo hao wazee wapenda majungu chokochoko na kuongea ujinga mda woteMuungano de jure ulishavunjika tangu mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 2010.
Kwa sasa tunasubiri uvunjike de facto ni kama mgonjwa mahututi aliye kitandani tunahesabu muda tu.
Kivyao.Nchi ndogo kuwa na utitiri wa wabunge hupelekea wabunge kuwa wajinga jinga na kutoa kauli za kijinga jinga pasipo kutafakari, ni wakati Zanzibar ipunguze majimbo ya ubunge kuwepo na wabunge wachache smart wenye Akili za maendeleo siyo hao wazee wapenda majungu chokochoko na kuongea ujinga mda wote
Watanzania wapo busy na kupambana kuleta maendeleo wao wapo busy na chokochoko za kuvuruga muungano kwa visingizio vya kijinga jingaHawa watu wanatia kinyaa
naichukia Zanzibar kama kinyesi
Tatizo huwa lipo Zanzibar kuwa na wabunge wengi sana ktk majimbo madogo madogo na wakikosa Hoja bungeni huanza chokochoko ili wapate uwaziri, idadi kubwa ya wabunge ktk Nchi ndogo ni Tatizo na hususani wakiwa ni wabunge wenye IQ ndogo ni wakati Zanzibar ipunguze idadi ya wabunge ipate kuwa na bunge bora lenye kujikita kuleta maendeleoMuungano unapumulia machine
Uzuri uliopo ni kuwa watanganyika na wabunge wa Tanganyika si wajinga si wabaguzi hawana mda wa kutengeneza chokochoko kama wabunge wa Zanzibar, wao wamejikita kwenye maendeleo zaidiUsafirishaji sio mali ya muungano lakini Mzanzibar Makame Mbarawa ni waziri wa Uchukuzi Tanzania bara/ Tanganyika.
Kanisa Katoliki ndio wanaoung'ang'ania huu Muungano. Lukuvi alikwishatoa hiyo codeSi huu muungano?
Yaani Wapemba hawautaki pamoja na kwamba ndiyo unawabeba lakini sisi Tanganyika tusiokuwa na faida yoyote na hao panya ndiyo tunaung'ang'ania kiasi cha kufa
Muungano hauna shida wenye shida ni wabunge wa Zanzibar wasaka uteuzi wa uwaziri kutumia chokochoko kama daraja la kupata uteuziKanisa Katoliki ndio wanaoung'ang'ania huu Muungano. Lukuvi alikwishatoa hiyo code
Wazanzibar waliopo Tanganyika ni wengi kwa sasa kuliko hata waliopo Zanzibar na hata wakiambiwa warejee Zanzibar hapatoshi, viongozi wa Tanganyika wakianza kupigania Tanganyika ni kuchochea moto zaidi na Athari zake ni kubwa, cha muhimu ni kuyaondoa mapungufu ya muungano mapema na kuboresha muungano uwe kama ule wa UK au USA uwe muungano wa maendeleo usiwe muungano wa majungu chokochoko toka kwa wabunge wajinga jinga toka ZanzibarWazanzibari wako sawa kabisa kutetea wazanzibar wenzao.Tatizo liko kwa viongozi maandazi wa Tanganyika hawaipiganii nchi yao.wanabaki tu kusema wazanzibari wabaguzi na siyo kuipambania Tanganyika yetu.viongozi wa Tanganyika wasipojitambua tutaendelea kulaumu kuwa tunabaguliwa na wazalendo wa zanzibar.
Muungano uvunjwe tu maana kila upande hawautaki ,wanaoutaka ni WANASIASA tu waliopop madarakani.Mambo yanazidi kupamba moto.
============
Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja.
View attachment 3610111
Zanzibar hapatoshi tukisema kila mmoja arejee kwake, cha kufanya ni kuhakikisha Zanzibar inakuwa na wabunge smart wenye upeo mkubwa ambao watajikita kwenye kuleta maendeleo siyo chokochoko na majungu kama hao wa sasaLeo kesho uvunjike kila mtu arudi kwao
Hawa kupe hawajawahi kutosheka. Wanajifanya hawataki muungano ili tu kutafuta mazingira ya kuendelea kuifilisi Tanganyika. Wanshindwa nini sasa kujitegemea kwa 100% kama wana huo uwezo?Mambo yanazidi kupamba moto.
============
Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja.
View attachment 3610111