muungano tanganyika zanzibar

  1. Allen Kilewella

    Kwanini wabunge wa Zanzibar wasitoke nje ya Bunge yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika?

    Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika? Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
  2. S

    Nyerere alikuwa anamfurahisha nani kukubali huu muundo wa Muungano?

    Huu ni muungano wa kulazimisha tena kwa mtutu wa bunduki. Ndio maana Kenyatta alisemaga watanzania ni wafu. Muundo wa hovyo hauwajawahi kuwepo duniani ndio maana CCM wanauita wa pekee hp duniani. Eti watu hawatakiwi hata kutaja jina Tanganyika kwasababu eti hatujui hata maana ya jina Hilo. Nini...
  3. Allen Kilewella

    Tanganyika imezikwa kwenye kaburi la Muungano, haiwezi kuvaa koti la Muungano

    Kuna wakati huwa nashangazwa Sana na mawazo ya baadhi ya wazanzibari wanapoona kuwa Tanganyika inafaidika zaidi na Muungano kati yake na Zanzibar, kuliko Zanzibar inavyofaidika na Muungano huo. Wazanzibari hao ndiyo waliobuni msemo wa "Tanganyika imevaa koti la Muungano" kumaanisha kuwa...
  4. Chakaza

    Pre GE2025 Tunajenga Utamaduni mbaya, tulianzia Chato sasa ni Kizimkazi!

    Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini. Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka. Tumeona speed ya...
  5. ChoiceVariable

    Mbunge Tawfiq: Biashara kati ya Zanzibar na Bara ni Kama Nchi Ziko Vitani

    Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye Muungano --- Mbunge wa Jimbo la Mpendae Unguja @toufiqsturky amesema Zanzibar kuna changamoto kubwa...
  6. bitare

    Kwanini Tanganyika iliuhitaji zaidi Muungano kuliko Zanzibar?

    Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili tuu tuungane. Ikumbukwe baada ya muungano Tanganyika ikafa, Zanzibar yenyewe ipo, Mtanganyika...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia: Kero za Muungano 15 kati ya 18 zimeshatatuliwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kihutubia Taifa kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais Samia amesema mojawapo ya sababu zinazofanya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar udumu ni uwepo wa tume ya pamoja...
Back
Top Bottom