Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
Na Watanganyika ndio walioua Wazanzibari tarehe 27 Januari, 2001, hadi UGP akajisifu na anaendelea kujisifu hadi leo. Jee ilikuwa sawa? Je mkuki kwa nguruwe?Wazanzibari ndio walioua maelfu ya ndugu zetu Watanganyika tarehe 29/10 ili kumweka Mzanzibari mwenzao Samia Suluhu Hassan kwenye ikulu ya Tanganyika..