mohamed damaro camara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TFF yaipa ushindi Yanga, malalamiko ya Simba kuhusu Damaro yakosa msingi

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la klabu ya Simba lililokuwa likipinga uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro Camara, ikieleza kuwa halina msingi wa kikanuni. Awali, Simba iliwasilisha malalamiko ikidai kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…