Nasikitishwa sana na kejeli ambazo baadhi ya wana jf wanazifanya kwa mzee wetu mwenye historia adhim ya taifa letu la Tanzania.
Mzee Mohamed Said ni mmoja Kati ya wazee wanaoheshimika sana pale darisalama na tanzania kwa ujumla.
Mzee wetu huyu ana historia kubwa sana ya tanzania na watu...
Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee.
Namkubali Sana huyu bi_dada popote alipo mpeni salam zangu, msimu huu wa Corona
As seen from Instagram
# I once told you. Matajiri wengi huwa wapo so versatile when it comes to spiritual issues.
Tajiri au kiongozi kuwa Mktisto au Muislamu hakumzuii kwenda kutafuta msaada wa kiroho kwa kiongozi au mpakwa mafuta "Annointed/ spiritually gifted person" from the other...
" Mwaka 96 nikiwa South Africa kuna mdau wa Jomo Cosmos aliniona akanifuata hotelini kwangu akaniuliza kama Nina wakala nikamwambia sina.
Akaniambia Mimi Nina Shida ya Goal Keeper kwenye timu yangu Lakini Uingereza Kuna timu pia inahitaji kipa ( Reading FC wakiwa daraja la TATU ) Kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.