The aliʻi were the traditional nobility of the Hawaiian islands. They were part of a hereditary line of rulers, the noho aliʻi.
The word aliʻi has a similar meaning in the Samoan language and other Polynesian languages, and in Māori it is pronounced "ariki".
Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana.
Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iko mbioni kusogeza huduma zake za kibingwa kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora na mikoa jirani katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga ili kuwaondolea wananchi usumbufu na gharama kubwa kufuata huduma hizo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
Mamia ya Wanafunzi kutoka vyuo vikuu na kati vya jijini Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kusaidia wagonjwa wenye uhitaji wa damu ambapo zaidi ya chupa 300 za damu zimepatikana kupitia zoezi...
Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni aina ya maisha ambayo watu wanaishi kwa miaka ya hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea.
Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema kila siku inapokea wagonjwa watatu wenye tatizo la kiharusi (stroke).
Hayo yameelezwa leo Septemba 20 na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Laurent Mchome katika kambi maalumu ya upasuaji wagonjwa 12 wenye matatizo ya uvimbe kwenye ubongo na matatizo...
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.