moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. covid 19

    Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  2. W

    Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
  3. J

    Odinga ataka kifo cha General Ogolla kichunguzwe haraka kwani Wananchi Wana hofu ameuawa!

    Baada ya mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina kuwasha moto bungeni kwamba kifo Cha Magufuli kichunguzwe, rafiki wa Magufuli naye huko Kenya amewasha moto mbele ya Rais Ruto akitaka kifo Cha CDF Ogola kichunguzwe Odinga amesema Wananchi wanahisi Uchaguzi mkuu uliopita ndio Sababu ya General Ogala...
  4. BigTall

    Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara inayoanzia Kituo cha Sheli kuelekea Muheza hadi Mpiji, sasa hivi magari hayapiti kwa urahisi, yakipita ni...
  5. J

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    "Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
  6. C

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi. Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu...
  7. THE FIRST BORN

    CAF kweli mmekosa siku Maalum ya Matches za CAF Champions League? Hadi Leo Matches zenu zinagongana na Moja ya Derby kubwa Afrika.

    Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama, Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika Mashariki na moja ya Derby mi saiv naita hata Derby inayoongoza even kusini Mwa Jangwa la Sahara...
  8. G

    Ukichunguza sana utagundua kuwa Dully Sykes, Abby skills, Mr. Blue,, Ali kiba, Diamond wote ni familia moja kimuziki

    Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo Abby skills kwao mtaa wa kipata Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue - Mimi Na Wewe pia kuimba na Ally Kiba, Baadae akamleta Diamond mitaa hio kwa Bob junior ambae kwao...
Back
Top Bottom