Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine.
Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭
Je,ni kitu/vitu gani unatamani ukifute kwenye haya maisha kisiwepo moja kwa moja?