mokwena

  1. ngara23

    Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

    Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa...
  2. Its Pancho

    Anguko la Kocha Mokwena na team ya mamelodi je ni Karma ya Yanga?

    I salute you kinsmen..! Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final. Kwa sasa mokwena ana hali ngumu pale wydad kwani amekuwa mtu wa vipigo kila siku anababuliwa kama...
Back
Top Bottom