Monduli District is one of the seven districts of the Arusha Region of Tanzania. It is located in the northeastern section of the country. It is bordered to the north by Longido District, to the east by Arusha Rural District, to the south by the Manyara Region and to the west by Ngorongoro District and Karatu District. The town of Monduli is the administrative seat of the district. According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Monduli District was 185,237. By 2012, the population of the district was 158,929. The population decreased, as Longido District was split off.
Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha kusimamia kwa haraka hatua za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja katika...
Viongozi wa jamii wa kimasai Malaigwanani Zaidi ya sabini katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wametoka tamko la kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kumpitisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025, Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza Pamoja na kumpata...
Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka ya wilaya hizo mbili yaliyong'olewa na kupoteza utambuzi wa mpaka huo.
Naibu Waziri Pinda amesema...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) amesema kuwa wananchi 595 waliofanyiwa uhakiki wa mali katika eneo la mradi wa Engaruka (Monduli) wanalipwa jumla ya shilingi bilioni 6.26
Amebainisha hayo Januari 09, 2025 jijini Arusha akihojiwa asubuhi na Azam Tv na kusema kuwa...
Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe...
Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa maji yaliyotuama ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu (2024).
Mbali na Watoto hao...
Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita.
Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena.
Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
Askari polisi jamii Kata ya Sakina - Arusha ambaye alikuwa pia dereva toyo kwa jina la Goodluck William afariki dunia baada ya kuchapwa viboko 70 kama adhabu aliyopewa na wazee kutokana na mila za Kimasai sababu ikisemekana ni kutelekeza familia yake, ambapo familia yake hiyo aliiacha Monduli...
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?
Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?
Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya...
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_
Waombolezaji wametoa...
Jina lake halisi ni Benedict Michael Mwakanyamale, lakini wengi katika Jiji la Arusha hasa eneo la Mbauda wanapenda kumuita Chuma. Huyu ndiye muombolezaji aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi ya uso na mmoja wa watu walionekana kama ni walinzi waliokuwa wakilinda msafara uliobeba mwili wa Waziri...
Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..
Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.