monduli

Monduli District is one of the seven districts of the Arusha Region of Tanzania. It is located in the northeastern section of the country. It is bordered to the north by Longido District, to the east by Arusha Rural District, to the south by the Manyara Region and to the west by Ngorongoro District and Karatu District. The town of Monduli is the administrative seat of the district. According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Monduli District was 185,237. By 2012, the population of the district was 158,929. The population decreased, as Longido District was split off.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Niliamua kuishi kama Lowassa miaka 24 iliyopita, nimetambua sikufanya makosa. Nipo njiani kwenda Monduli

    Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za Arumeru dhidi ya aliyeelezwa kuwa ni mkwe wake. Lakini baadaye niligundua kwamba kosa halikuwa lake...
  2. Erythrocyte

    Ratiba: Lowassa kuzikwa kwao Monduli tarehe 17/02/2024

    Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa. ==== Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha. Lowassa amefariki...
  3. peno hasegawa

    Monduli imetoa mawaziri wakuu wawili wenye kudhubutu na kufanya, CCM inajifunza nini.

    Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
  4. Mganguzi

    Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

    Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi...
  5. JanguKamaJangu

    Polisi wapanda miti 1,000 Monduli Juu, waziomba jamii za kifugaji kutunza mazingira

    Jeshi la Polisi Katika kuhakikisha linaendelea na ulinzi wa raia na mali zao hapa nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo nchini (STPU) kimeshiriki katika kampeni ya upandaji miti zaidi ya elfu moja katika kata ya monduli Juu Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia awatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular Chuo cha Maafisa cha Kijeshi Monduli

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular chuo cha maafisa cha kijeshi, Monduli mkoani Arusha leo tarehe 18 Novemba, 2023. https://www.youtube.com/live/21P0ou6g_Zg?si=sYJGE53fEu5KKbRP...
  7. Pfizer

    Arusha: Tawa yakabidhiwa rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani Wilayani Monduli

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kutoka kwa Msajili wa Hazina na kwenda kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za uhifadhi na...
  8. Lady Whistledown

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Erasto Sanare, anadai Milioni 200 kwa kuchafuliwa na M/Kiti wa Halmashauri ya Monduli

    Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Erasto Sanare katika moja ya majukumu yake wakati wa uongozi wake. Picha na mtandao Arusha. Mkuu wa mkoa mstaafu wa Morogoro, Erasto Sanare amemfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, Isaac Joseph (Kadogoo), akimtuhumu kumkashifu na kumtolea...
  9. Stephano Mgendanyi

    Vijiji Vyote Vilivyopo Wilaya ya Karatu na Monduli Kufikiwa na Umeme

    VIJIJI VYOTE VILIVYOPO WILAYA YA KARATU NA MONDULI KUFIKIWA NA UMEME. Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea na hatua ya kusambaza umeme katika maeneo ya Wilayani Monduli na Karatu ili kuhakikisha Vijiji ambavyo havijafikiwa umeme vinafikiwa. Naibu Waziri wa Nishati...
  10. JanguKamaJangu

    Majani yenye sumu yadaiwa kuwa chanzo cha ng’ombe 15 kufa wilayani Monduli

    Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo. Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia awatunuku Kamisheni wanafunzi wa JWTZ Monduli, leo Novemba 26, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kundi la 03/19 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) - Monduli...
  12. J

    Ujenzi wa jengo la utawala Monduli waleta mvutano

    UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO Na John Walter-Arusha Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
  13. K

    Wamaasai wataharibu mazingira ya Msombera kama Monduli?

    https://www.ippmedia.com/en/news/pm-shifting-msomera-won%E2%80%99t-hinder-any-activities Bila kuwa na utaratibu hivi sehemu za Handeni mpaka morogoro ambazo ni nzuri sana kwa kilimo zitabaki jagwa na uvamizi wa wamassai. Hii ni kutokana na ukweli kwamba wamassai hawalishi ngombe kwa mpangilio...
  14. JanguKamaJangu

    Arusha: Sita wafariki ajali ya Lori, Noah

    Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali ya gari baada ya Toyota Noah kugongana na Lori aina ya Scania katika eneo la Alkatani, Kata ya Sepeko, Tarafa ya Kisongo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo Aprili 20, 2022. Ajali hiyo imetokea katika...
  15. K

    DC wangu Monduli umepotoshwa

    DC WANGU MONDULI AMEPOTOSHWA Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!! Kwanza napenda kusema sikusudii wala sipendi kujibishana na mkuu wangu wa wilaya Kwenye vyombo vya habari. Lakini nimelazimika kusema kidogo ili kuondoa upotoshwaji mwingi aliosema DC Kwenye taarifa yake...
  16. Jembe Jembe

    Mkuu wa Wilaya Monduli, Frank Mwaisumbe aliyepopolewa Mawe na wananchi afunguka, ampiga chini Mwenyekiti wa kijiji

    Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini. Akitoa ufafanuzi Mbele ya...
  17. kmbwembwe

    Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  18. M

    Fredrick Lowassa, mbona kimya Bungeni?

    Ni takriban miezi saba sasa tangu uwepo wa bunge hili, Mbunge wa Monduli Mh. Fredrick Lowassa hatujamsikia akichangia chochote kama alivyokuwa mtangulizi wake, Mh. Julius Kallanga aliyekuwa na makeke sana? Au naye kajiunga kwenye kundi la Mh. Abood yule wa Morogoro asiyechangia bungeni?
Back
Top Bottom