monduli

Monduli District is one of the seven districts of the Arusha Region of Tanzania. It is located in the northeastern section of the country. It is bordered to the north by Longido District, to the east by Arusha Rural District, to the south by the Manyara Region and to the west by Ngorongoro District and Karatu District. The town of Monduli is the administrative seat of the district. According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Monduli District was 185,237. By 2012, the population of the district was 158,929. The population decreased, as Longido District was split off.

View More On Wikipedia.org
  1. Jimbo la arusha mjini na monduli yagawanywe

    Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
  2. TARURA Arusha Yaagizwa Kuharakisha Ujenzi Daraja la Oltukai - Monduli

    TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha kusimamia kwa haraka hatua za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja katika...
  3. Pre GE2025 Wamasai Monduli wampongeza Rais Samia kupitishwa na Chama, Wapinga madai ya fidia ya eneo la mazoezi ya Kijeshi

    Viongozi wa jamii wa kimasai Malaigwanani Zaidi ya sabini katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wametoka tamko la kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kumpitisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025, Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza Pamoja na kumpata...
  4. Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  5. Pinda aelekeza maafisa ardhi kurejesha mawe ya mpaka wa Monduli na Longido

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka ya wilaya hizo mbili yaliyong'olewa na kupoteza utambuzi wa mpaka huo. Naibu Waziri Pinda amesema...
  6. Waziri Jafo asema wananchi 595 kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 6.26 Engaruka, Monduli

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) amesema kuwa wananchi 595 waliofanyiwa uhakiki wa mali katika eneo la mradi wa Engaruka (Monduli) wanalipwa jumla ya shilingi bilioni 6.26 Amebainisha hayo Januari 09, 2025 jijini Arusha akihojiwa asubuhi na Azam Tv na kusema kuwa...
  7. Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

    Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe...
  8. KERO Wananchi Mti Mmoja - Monduli (Arusha) wanakunywa maji ya bwawa yaliyotuama, hakuna Huduma ya Maji ya Bomba

    Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa maji yaliyotuama ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu (2024). Mbali na Watoto hao...
  9. Viungo vya Mtoto aliyepotea vyapatikana Monduli, Ripota wa Millard Ayo anyang’anywa kadi ya kamera wakati akirekodi

    Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita. Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
  10. Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

    Jamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
  11. Wako Wapi Wabunge wa Simanjiro, Longido, Monduli na Kiteto? Hamuwaoni ndugu zenu wanavyo teseka? Wakati wenu waja

    Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena. Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
  12. Polisi jamii auliwa baada ya kuchapwa viboko 70!

    Askari polisi jamii Kata ya Sakina - Arusha ambaye alikuwa pia dereva toyo kwa jina la Goodluck William afariki dunia baada ya kuchapwa viboko 70 kama adhabu aliyopewa na wazee kutokana na mila za Kimasai sababu ikisemekana ni kutelekeza familia yake, ambapo familia yake hiyo aliiacha Monduli...
  13. Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo? Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT? Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya...
  14. Karibu Msibani-Ngarash Monduli

    Welcome all....
  15. Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi . Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi . Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
  16. Weka caption kwenye picha hii kutoka Monduli

  17. Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  18. Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

    Jina lake halisi ni Benedict Michael Mwakanyamale, lakini wengi katika Jiji la Arusha hasa eneo la Mbauda wanapenda kumuita Chuma. Huyu ndiye muombolezaji aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi ya uso na mmoja wa watu walionekana kama ni walinzi waliokuwa wakilinda msafara uliobeba mwili wa Waziri...
  19. Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
  20. U

    Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

    Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani.. Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…