money

  1. Nini sababu.ya.wakala mdogo kugawana pesa na wakala mkuu kwenye mobile money business

    Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu. Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye mobile.money.business
  2. I'll marry for money and my kids will marry for love

    Asante sana Hamissa Mobeto
  3. Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

    Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
  4. S

    Parkinson's Law of Money (Sheria ya Parkinson Kuhusu Fedha)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee kuongea kupoteza pressure... Umewahi kushangaa kwa nini kuna watu wanapiga hatua, hata endapo wana...
  5. Airtel Money Merchant Business Support Officer - Job position

    Company Overview Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are currently recruiting on behalf of our client, a well-established Telecommunication Company, for a...
  6. How to save money everyday

    Saving money is one of the most effective methods to secure your economic destiny. Whether you are planning for a prime purchase, constructing an emergency fund, or clearly looking to control your finances higher, saving performs a crucial role in accomplishing your desires. Here’s a...
  7. F

    Katika Album ya Zuchu "Peace and Money" nyimbo ipi umekuibali?

    Kwa mim nimeipend hujanizidi feat dvoice na makonzi Wew je umetokea kuipenda nyimbo ipi
  8. M

    How money laundering is done through fake pastors and preachers

    Money laundering through fake pastors and preachers typically exploits the reputation of religious institutions as trustworthy and charitable. Here’s how it works: 1. Establishment of a Religious Institution A fake preacher establishes a church, ministry, or religious organization. Since many...
  9. Online money making ideas👇

    Jamani mwenye working idea ya kumake money online aishushe hapo chini. Sio uweke zile za ata tukisearch google tunaziona. I mean working ideas, like una specify niche au product au service inayouzika na soko husika, mtaji needed, risk and much more 🙏🙏🙏
  10. kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

    Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
  11. DOKEZO Je,kuna money laundering kwenye timu zetu? Baadhi ya timu zina matumizi ya kufuru kuliko mapato

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje kumi kuliko kumiliki bendi. Wanawake kumi unaweza kuwatumia kama nguvu kazi au hata wakakuzalia...
  12. Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  13. DAWASA how do you make money?

    Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi 👇 Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti 0, kutoka 427 mpaka 427 sawa na Tshs. 0. Salio/Ziada ni Tshs. 0, jumla Tshs. 0. BILI HII NI NOTISI...
  14. Money is never enoug! Utapata pakubwa utaspend vikubwa, utaona haitoshi maana bado haujafanya makubwa zaidi.

    Dogo kama huyu unaweza kuta miaka 7 nyuma baba yake alikuwa akifanya kazi shift mbili ili akidhi bills ila ona leo dogo anatupia mwilini kwake pesa ambayo robo tatu ya waafrika hawatakaa waishike kwa mkupuo
  15. O

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  16. YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips

    YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips Here's a breakdown of profitable YouTube sub-niches within Make Money Online, Finance, and Social Media Tips, incorporating current trends and monetization strategies: I. Make Money Online ($13.85/1000) Main Niche...
  17. Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?

    Nimeona huu mjadala Mahala. Kama KKKT wanatakatisha fedha ni vema serikali iwachunguze Maana hawalipi kodi hawa. Pia hawa wasamaria wanaoleta hizi taarifa inabidi serikali iwalinde wasije wakadhurika
  18. TBC kudhamini ligi ya NBC hatupati value for money

    Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5. Kwanini matangazo ya...
  19. B

    P. Diddy hakukosea alipoimba "More money more problem", yaani pesa nyingi huzalisha matatizo mengi

    Asee Wana JF hali gani huko? kazi iendelee na pia people's powers, Tuingie kwenye mada! Unajipambania zako na kuweka malengo Kila siku, Kila mwezi, Aidha miezi, mwaka au miaka kwamba utakua unatunza kiasi kadhaa aidha bank, aidha kwenye lani n. K na unajicommit Ata kujiapiza kabsa sometimes...
  20. Mtumiaji wa WebMoney Keeper???

    Kama hua unatumia web money kutuma na kupokea pesa tafadhali naomba msaada wako 🙏 ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…