Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer?
===
Utakuwa unakumbuka midahala enzi za shule, moja kati ya mada kubwa ambayo watu wengi waliwahi kujadili katika maisha ya shule ni hii ya ‘Education is better than money’
Kila mmoja alikuwa na upande wake. Katika maisha halisi...
Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku,
je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku...
HIS Instagram feed is a littered with snaps of exotic holidays on private jets, custom-made sports cars and watches worth more than £350,000.
But despite being worth £35million and living a life of luxury, British boxing icon Anthony Joshua is so humble that he still lives in an ex-council house...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa...
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si kufuru hizi kwa usawa huu wa Magu. Kakangu kitenge acha dharau ukizingatia una ndugu zako wazaramo kibao...
nahitaji lain ya wakala ya airtel money, mmiliki awe na document zote.
Offer yangu ni 100,000/= njoo pm, au niandikie ktk baruapepe sirngonyani@mail.com
Habarini za jioni wakuu,
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Binafsi naomba niwasilishe malalamiko yangu kwa hawa AIRTEL TANZANIA kutokana na vitendo vyao hivi ambavyo ni viashiria wazi vya dhuluma kwa wateja wao.
Kwa kawaida hua sipendi kununua bundles kwa vocha za kukwangua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.