Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku,
je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku...