Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1. Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2. Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3. Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka...