Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1. Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2. Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3. Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4. Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5. Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
 
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre

Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.

ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile

Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.
 
Asilimia kubwa ya maisha ni kurudia mambo. Shule, ibada, michezo, hata mazungumzo ya kawaida tunayofanya kila siku.

Ni muhimu kujikumbusha yale mema uliyobahatika kupata kwenye maisha yako, ili uwe na shukrani.

Mtu una kazi inakulipa unazogeza siku, ukilalama utakuwa na shida. Labda kama upo kwenye nafasi nzuri ya kuinuka zaidi ya hapo, na kama ni hivyo, bora uchukue hatua kuliko ulalame.
 
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Hata ukijiajiri lazma ufate routine otherwise hujafanikiwa kwa unachokifanya
 
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Ngoja nami nikurushie maswali yangu ya kijingajinga;-
-hiyo herufi "a" umeiandika kwa kuirudia mara ngapi tangu ujue kuichora?
-kuhusu kula,kulala,kuongea,KUANGALIA n.k,umesharudia mara ngapi maishani mwako?
-Je,ule msemo/mbinu/nahau isemayo "Hakuna jipya chini ya jua",huwa unaichukuliaje?
NB; Ushauri mpya "kabisa" kutoka kwako ni upi hasa?
 
Back
Top Bottom