Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

yote kwa yote, maisha yanahitaji uwiano. Usiruhusu kazi moja ikumeze/ichukue maana ya maisha yako yote. Tafuta kitu kingine cha kufanya kinachokupa furaha, afya ya mwili na utulivu wa akili. Maana maisha si kufanya kazi tu,ni pia kuishi.
 
Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.

ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile

Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.
Baba mtakatifu91 ishi humo.

If it makes you happy keep doing it
 
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Hawa wote uliowataja wanafanya kazi ile ile lakini ina case tofauti kila siku. Mfano Dr anapata wagonjwa tofauti na wenye magonjwa tofauti etc.
 
Tumia Logic
Hata Gym unafanya mazoezi yaleyale mwishoni unapata results.

Kufanya jambo lile lile maana yake unakuwa expert na baadaye consultant. Ukijiongeza unapiga pesa mbaya.
 
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Kuajiliwa sio bongo tu, upeo wako wa kusngalia Mambo ni mdogo Sana, hata Bakheresa, au eron musk, anafanya jambo lile lile kila siku,information technology, engineering,
Wewe unaona ni ubabe uamke asubuh ukafungue kibanda cha mpesa,ukae hapo hapo mpaka jioni na kesho urudi, hapo sio utumwa kwa vile tu "umejiajiri"
Hata Uwe mwalimu, kufundisha ni full time job, hakuna utumwa hapo, fikra za utumwa zinakuja kwa vile unawaza kipato kikubwa!
Uwe mwalimu ulipwe laki nane,au Uwe mwalimu ulipwe milioni 15! Wapi uta kuwa mtumwa?
Kwa laki 8,huna mengi unayoweza kufanya lakini kwa 15M! Uta kuwa mwalimu, utafungua baa kitaa, duka la mpesa, duka la nguo,nk!
Fikra za kiutumwa zinakuja pale unapukuwa huna option nyingi za kufanya Mambo ya kuzalisha fedha kutoka na na kipato chako,
Je Samia ni mtumwa, anasmka asubuh kwenda ikulu kufanya Yale Yale, mshahara 98M! Bado ni mtumwa?
Acha ujinga
 
Hata Huku kwenye kujiajiri pia ni hivyo hivyo, muda mwingi unatumia ofisini, safari za kusafiri kibiashara hazipo Kila siku. Tena Huku kwenye kujiajiri ndio utaacha viatu maana ni kukimbizana mwanzo mwisho, japokuwa mwisho wa siku kibunda kinakuwa kimenona unaweza hata kutembea sehemu za bei chee South East Asia...Tena Kwa ujumla repetition ndio msingi mzuri wa mafanikio, matokeo mazuri hayaji Kwa kudandia dandia kinyume na hapo labda Mzee wako ni tycoon.
 
Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.

ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile

Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.
"All humanity problems stems from man's inability to sit quietly in a room all by himself"

Maana yake ni kama watu wangeweza kuvumilia maisha ambayo hayana excitement na drama kama wanapata kipato cha kujitosheleza, basi hii Dunia ingekuwa na matatizo machache sana

Matatizo yanakujaje? Unaboreka na kazi au level yako, mara unaomba mkopo kuanzisha mradi, mara unafanya fitna kupanda cheo, mwingine labda anaiba, mara unaomba uhamisho, unaenda club, bar, michepuko, n.k haya yotte ndio huingiza watu kwenye mitego ambayo hawakuitarajia
Lakini haimaanishi watu wakae tu bila kuharibu vitu vipya, bali ni kutafakari na kuelewa thamani ya ulicho nacho kwanza na risk unayoingia ya kutaka kitu kipya au cha msisimko kabla ya kufanya
 
Moja ya kazi huwa naichukulia kama kazi ngumu ni kazi ya benki. Ukiwa teller huwezi kuweka madoido Wala manjonjo yyt maana ukicheza vibaya na keyboard tafsiri yake ni kwamba aidha unaongeza au unapunguza digits. Ambapo ukiongeza hata zero namba inabadilika badala ya 10,000/= inakuwa 100,000/= na kinyume chake
 
Hata biashara, kilimo ni kurudia yale yale. Maisha ni marudio ya vitu vile vile. Jana ulikula ugali baada ya siku mbili utakuala tena ugali.
Biashara na kilimo vinaweza kuwa na level na ukuaji tofauti na utumishi... biashara mtu anaweza kutanua wigo wake wa wateja, kuongeza mtaji, Kuna faida na hasara ambazo zinaupa akili excitement/disappoinment tofauti
 
Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.

ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile

Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.

Itakuwa wewe kilaza hujui changamoto mpya kazini kwako
 
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years

2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale

3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile

4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile

5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale

Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Hapa labda uongelee wanle wanaamkia sehemu moja kila siku.

Kuna wengine ajira zinawapeleka field , sites

niliacha kazi nikafungua biashara lkn nikajikuta bado naamkia sehemu moja mwisho wa siku nikawa sijatatua tatizo.

Usiache kazi kama hujui unataka kufanya nini hasa.
 
Back
Top Bottom