Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Hauchoki kila mwaka unarudia routine ileile?Mi mkulima mkuu
Nasubiri response ya muheshimiwa.Hauchoki kila mwaka unarudia routine ileile?
Kimsingi ukiona unakuwa bored na activities of daily life, nenda kamuone daktari wa magonjwa ya akili.
Mi nipo mentally fit mkuuNasubiri response ya muheshimiwa.
Atakayekataa shauri yake.Mi nipo mentally fit mkuu
Kwani ukijiajiri kuuza nguo kuna siku utaenda dukani kwako ukute nguo zimebadilika na kuwa bajaji ?Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Na wewe unajisikiaje kila siku jioni au usiku kuoga? yaani unafanya jambo lilelile kuoga kila siku.Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Inaboa mkuu basi tuNa wewe unajisikiaje kila siku jioni au usiku kuoga? yaani unafanya jambo lilelile kuoga kila siku.