Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
Mamlaka husika i.e. Morowasa na mamlaka zenye mamlaka ya kuwawajibisha Morowasa tunaomba mtufikirie sisi wananchi Morogoro manisapaa, kata ya Kihonda-maghorafani.
Ni wiki ya tatu sasa, maji hayajatoka katika mabomba yetu, kibaya zaidi hatujapewa taarifa yoyote kama kuna tatizo au ni uvivu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.