Elite bankers dominate TMRC’s mortgage loan beneficiary list
Kwanini wananchi wanapata tabu sana kupata hii mikopo ya TMRC. Kuna mabenki mengine mkopo wa nyumba una riba ya 21% wakati serikali inawapa hawa jamaa pesa nyingi tu kwa 6%. Sisi walimu tunawezeshwaje ili tuweze kujenga na kuwa na...