MkopoShida Yako ni kupatiwa mortgage service?
AhsanteMortgage ni mikopo yenye siasa. Na mabenki mengi Tanzania yanakwepa mikopo ya muda mrefu. Wao wanataka kutengeneza pesa chap chap
Ila kama wewe ni mtumishi au una ajira kwenye shirika la kueleweka wanaweza kukusikiliza.
Ushauri, nenda benki yeyote hususani hizi kubwa, huko kwingine ni majanga
Ndivyo...mfano kununua nyumba.Shida Yako ni kupatiwa mortgage service?