moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Mgogoro shamba la mwekezaji Moshi watua Mahakamani

    Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth Stegmaier ambaye ni Raia wa Ujerumani na chama cha ushirika cha Uduru umeingia sura mpya baada ya pande zote mbili za mgogoro huo kukimbilia mahakamani. ======= Moshi. Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth...
  2. Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  3. Ramadhani Kingai, sasa urudi Moshi CCP, urudie somo la PGO

    Ramadhani Kingai sasa ndio DCI wetu! Kama alipitia somo la GPO(General Police Orders) kule Moshi CCP(Chuo Cha Polisi) , basi ni wazi kuwa hakufaulu lakini akaingia kazini hivyo hivyo. Nasema hivi kutokana na track record yake , hasa katika kesi iliyomuumbua kitaaluma, kesi ya Ugaidi wa Mbowe...
  4. Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  5. M

    KWELI Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi akanusha madai ya kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani . Wakati wa madaraka...
  6. Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

    Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote. Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
  7. P

    Moshi Co-operative University (MoCU)-special thread

    Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuni🙏
  8. Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

    Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi. Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
  9. Soko Kuu la Mitumba Memorial Moshi lingejengwa kisasa, linaleta aibu

    Soko la Mitumba aina zote maarufu kama Memorial, lililopo katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro lipo katika hali ya kusitikitisha kutokana na kuwa limejengwa katika mfumo wa vibanda vya miti. Soko hilo pia limekuwa maarufu kutokana na kuwa na wateja wa mataifa mbalimbali wanaokuja kununua...
  10. Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

    Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine. Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura...
  11. Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya Msaada wenu tafadhali
  12. Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  13. Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi. Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini. Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro. Asante sana Wakuu Wangu
  14. F

    Juma Raibu awavua nguo waliomvua Umeya Moshi

    Aprili 11 mwaka huu baraza la madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi lilifanya maamuzi magumu ya kung'oa kwenye kiti chake cha umeya,Juma Raibu ambaye ni diwani wa kata ya Bomambuzi . Miongoni mwa tuhuma zilizomng'oa Raibu kwenye nafasi yake ni pamoja na madai ya rushwa katika utoaji wa...
  15. Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022 Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi. =========================== Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
  16. SOLD: Eneo Lenye Pagale Mbili linauzwa-Boma Ng'ombe

    Eneo lenye Pagale Mbili Linauzwa Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali.KM 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha. Eneo lina Pagale Mbili Moja Self ya Vyumba 3 na NYingine in ni Double yenye Master Room. Bei ya Eneo ni Milioni 18 ila Maongezi yapo. Kwa mawasiliano Piga Simu nama 0757323060.
  17. L

    Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  18. Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
  19. Miji muhimu ya Kifedha Tanzania, nje ya Dar: Mwanza, Arusha, Moshi

    .
  20. E

    Sehemu nzuri ya kufurahia sikukuu Moshi

    Habari wakuu .. Nauliza kwa wenyeji wa moshi au wenye uzoefu. Ni sehemu gani nzuri ya kufurahi na kuenjoy Moshi Ahsanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…