Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.
Tafadhali wataalamu na wazoefu wa jukwaaa letu pendwa
1.Gari yangu ilianza kutoa moshi mwingi kama wingu kubwa na ilikuwa inaonyesha engine check baada ya hapo nikabadilisha oil s40 na baada ya kuchange oil ikawa haitoi tens moshi kabisa na ile taa ya check engine ikazima Ila baada ya halo...
Kiukweli Dar es salaam ni chafu mno leo nimepita mitaa ya Kinondoni mkwajuni hakika kunanuka na kutia aibu.
Kwa ufupi kabisa niwaombe madiwani wa Dar wakajifunze usafi kwa wenzao wa Moshi au hata pale Iringa manispaa.
Kwa kweli Dar es salaam kwa uchafu inatisha na hii Corona ndio hatari tupu...
Serikali kupitia kwa viongozi wa juu akiwemo Mheshimiwa.Raisi, Waziri mkuu na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto wamekuwa wakituhadharisha na kutupa Elimu ya namna gani ya kujilinda na kujiepusha na Huu ugonjwa Hatari wa Korona ambao umeangamiza maelfu na maelfu nduniani...
Ndugu zangu Watanzania tuko katika mapambano makali dhidi ya adui hatari aitwaye COVID-19
Kama tunavyoambiwa na wataalamu wa afya katika janga hili kuwa ni vyema kila akajikinga kwa kuchukua tahadhari zote muhimu.
Katika hili nawapongeza sana viongozi wa Manispaa ya Moshi kwa kuanza utaratibu...
Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike.
Naomba...
Iringa. Wajumbe wa Baraza maalumu la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nchini Tanzania wamemuondoa madarakani meya wa manispaa hiyo, Alex Kimbe.
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika...
Kwako PM Majaliwa
Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea
Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee
Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa...
Ni ajabu na kweli baada ya yote yaliyotokea Moshi mwezi uliopita Mwamposa atunukiwa udaktari wa heshima. Mshana Jr alitabiri kupanda cheo kwa Mwamposa na sasa yamekuwa kweli. Watu wanapaswa kufunguka macho kuhusiana na yanayoendelea ulimwenguni tena siku hizi yapo wazi kabisa. Kuweni waangalifu...
Afisa Tarafa ya Moshi Magharibi Bwana Senzia Lushino mwishoni mwa wiki hii ametembelea Shule ya Sekondari Korongoni iliyoko manispaa ya Moshi Mjini katika kata ya Soweto na kukuta Mwalimu mtoro sugu bwana Honest Shirima hayupo.
Mwalimu huyo anatumia muda mwingi kuendesha Bajaj mjini moshi muda...
Serikali ya Wilaya ya Moshi imelifunga kwa muda kanisa la Evangelist Assembles of God (E.A.G.T) Mawenzi lililopo Mtaa wa Vigae kutokana na mgogoro kati ya waumini na uongozi wa juu wa kanisa.
Chanzo cha mgogoro kinadaiwa kuwa ni uongozi wa juu wa kanisa hilo kumuondoa mchungaji mwanzilishi wa...
KAFARA NI NINI?
Kafara NI kitu cha thamani kinacho tolewa na MTU Kwa Mungu au miungu Kwa sababu maalumu.
SABABU ZA KUTOA KAFARA.
Kafara hutolewa Kwa sababu mbalimbali.
Kwa sababu ya muda na nafasi nitazielezea chache Kwa ufupi:
1.TO PROVE YOUR LOYALTY AND OBEDIENCE TO THE GOD OR god(s)...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira...
Nasoma page mbalimbali unaona watumishi wa kiroho na wengine wachache wakifurahia tukio la Moshi. Mbaya wengi wanalilia pesa za sadaka zinazokusanywa na Mwamposa. Niwaambie tu haya yote ni unafiki hakuna Makanisa yasiyotoza watu sadaka wala zaka na mkae kimya msiaibike
Wengine mnaruhusu hata...
NAAMINI BADO WOTE TUNAAMINI MUNGU TUNAPOWEZA KUITA VIBANDA DINI NAWAZA YAFUATAYO
1))NANI ALIERUHUSU USAJILI WA HII VIBANDA DINI
2))KWENYE MKUTANO WA SIASA SIKUZOTE TUNAONA GARI ZA WAH NDUGU ZETU POLISI JE SHIDA IKO WAPI WASIONEAKNE KWENYE HIO MIKUTANO
3))NANI ALIETOA KIBALIA CHA KONGAMANO LA...
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.