moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

    Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka. Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea. 2020 hakuna mchagga atakula Krismas...
  2. D

    Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

    Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika. Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja. Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
  3. C

    Changamoto ya maji mjini Moshi

    Tokea siku ya Jumatano. Maji hayatoki kwa baadhi ya maeneo hapa Moshi. Sasa sijajua tatizo ni nini, Na mbona kama kuna tatizo, nyie idara ya usimamizi wa Maji hapa moshi mbona hamtoi taarifa ya kukatika kwa maji kwa siku zote hizo hadi kufikia leo Jumapili ni patupu. Watu wengine...
  4. Waziri wa Kaskazini

    Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

    Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo.. -Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi, salalee kuna watoto wakali...
  5. Miss Zomboko

    Moshi: Mwalimu na Wanafunzi 2 wapandishwa kizimbani kwa kuchoma Mabweni ya shule

    Moshi. Ofisi ya Taifa ya mashtaka nchini Tanzania imewafikisha mahakamani watuhumiwa watatu wakiwemo wanafunzi wawili kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari za Uchira na Ebeneza Sango zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na...
  6. Shin Lim

    Unga wa kwenye bomba la kutolea moshi wa gari una kazi gani?

    Sijui mimi ni mshamba au vipi! Lakini ukweli ni kuwa inaonesha unga huo umekuwa dili, unatolewa sana. Sasa je, hakuna madhara kwenye gari lililotolewa huo unga?
  7. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Kilimanjaro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9. Walioshinda katika hayo majimbo ambayo ni...
  8. J

    Uchaguzi 2020 Hii ratiba ya Tundu Lissu mikoa ya Ruvuma, Dodoma, Singida, Moshi, Tanga na Dsm kwa siku 3 ina baraka za NEC?

    Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho. Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC? Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo...
  9. K

    Arusha -Moshi wameoewa gari moshi la mkoloni sio treni

    Wanaosema treni ambayo inatumia siku mbili kufika Arusha ni kujidanganya. Hili ni gari moshi ambalo haliwezi kuendana na nyakati hizi za haraka. Wafanyabiashara watatumia kwa cement pekee lakini abiria wataichoka kwasababu ya muda mrefu wa kusafiri. Watu wa kaskazini ni wafanyabiashara sasa...
  10. Mwamba1961

    Fundi umeme anaitajika Moshi - Tanzania

    Cube Operator (Electrical) Job Description : Reports To: Production Manager Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit...
  11. JamiiForums

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  12. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25, 2020 M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
  13. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Moshi mjini: Mkutano wa Kampeni wa mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli. Asema atafufua viwanda vilivyolala

    MAGUFULI: Nawashukuru viongozi wa dini kwa Dua na Sala zao. Ninajua wagombe wenzangu wa ubunge wameeleza yote na mikakati mbalimbali ya chama cha mapinduzi kama ilivyofafanuliwa kwenye Ilani. Nchi yetu imebarikiwa kwa mambo mengi sana, binadamu wa kwanza, mti mrefu, mlima mrefu kuliko yote...
  14. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

    Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini
  15. Cannabis

    Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

    Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote. Source:
  16. Miss Zomboko

    Manispaa ya Moshi: Kuungua kwa Bweni la Kaloleni Islamic ni hujuma za watu wenye nia ovu

    Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imesema, matukio ya kuungua mara kwa mara mabweni ya Shule ya Seminari ya Wasichana ya Kiislamu ya Kaloleni ni hujuma. Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Michael Mwandezi alisema hayo wakati akikagua athari za moto uliotokea Oktoba 8, mwaka huu, saa 1:15 usiku...
  17. Fya-fyafya

    Moshi kuna nini hasa mpaka kuwe na mvutano na Tundu Lissu kiasi hiki?

    Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA. Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu. Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia...
  18. Kibosho1

    Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

    Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni. Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu...
  19. F

    Lissu aisimamisha Kilimanjaro, Moshi mjini wamsubiri hadi usiku, waimba rais, rais, rais hawataki Lissu awanyamazishe

    Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
  20. Fya-fyafya

    Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

    Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni. Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
Back
Top Bottom