Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.
Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo.
Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunaamini unaendelea vizuri na mikutano ya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi kwa chama cha mapinduzi (CCM)hapa mkoani Kilimanjaro na leo upo wilaya ya Rombo kumnadi Profesa Mkenda ambaye tunaamini atapata ushindi wa kishindo.
Mheshimiwa Waziri Mkuu,wakati unaendelea na...
Wakuu Salaam;
Mji wa Moshi ndiyo kitovu cha mkoa wa Kilimanjaro na kwa sasa hivi mji huu umepanuka kimaendeleo kulinganisha na miaka 15 iliyopita.
Sasa mji huu tangu mda tu haupandishwi hadhi ya kua jiji ilihali mchana kweupe tunaona kwingine kunapanda tu. Na sifa za huu mji zinajulikana...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa uchaguzi Moshi vijijini na Vujo Bw. Castory Msigala aliingia katika mgogoro na wanachama wa Chadema chanzo kikiwa ni fomu ya wagombea wa Chadema.
Mgogoro huo umesababisha mkurugenzi huyo kuondolewa katika nafasi hiyo ya kusimamia uchaguzi Moshi na...
Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi.
======
Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha wakathibitishe polisi kama ni halisi ama La.
Baada ya katibu wa CHADEMA kuhoji iwapo vyama vyote...
ZAIDI ya watu 4,000 wameng’atwa na mbwa katika kipindi cha mwaka mmoja wilayani Moshi huku wafugaji wa wanyama hao wakitakiwa kuwapa chanjo kabla ya utaratibu wa kuwaua haujaanza.
Aidha imebainika asilimia kubwa ya wanaong’atwa na mbwa hao ni wanafunzi nyakati za asubuhi wanapokwenda shule...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha.
Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
Moshi yote:
*Hakuna Toyota branch;
* Hakuna Authorized Dealer;
* Hakuna Authorized Service Workshop;
*Hakuna hata Authorized Parts Dealer
Nilisikiaga kuwa Moshi ni jiji, why Toyota Tanzania Ltd alipe kisogo jiji hilo la wajuaji?
Kuna jamaa zangu hapo wamefika mji huo jioni ya leo na...
Wakuu,
Nini kinaweza sababisha gari kutoa moshi mwingi wakati unawasha gari? Hili tatizo limeanza karibuni, haikuwa na hiyo Tabia, moshi ni mwingi sana huwezi kupaki ukaja kuwasha mbele ya watu. Itakuaibisha maana utadhani inaungua. Ukianza kuendesha unaisha au unabaki kidogo. Moshi ni...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kule Kilimanjaro, CCM imemuamini mwenyekiti wa CCM mkoa Jambo ambalo nitakigharimu chama kwa miaka mitano. Mwenyekiti wa CCM mkoa ni swahiba mkubwa wagombea aliyepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Mjini. Mtandao huo umekwenda mbali kiasi kuwa kaka wa Ibra...
Wakati chama chetu kikiendelea kujipanga sawasawa katika mtanange Wa Ubunge na Udiwani katika majimbo yote 264 na kata zote 3,956 Mkt. wa Chama ameongea na watia nia wa Ubunge/Udiwani jimbo la Arusha Mjini (Jana) leo ni Jimbo la Moshi Mjini.
Wale wote wanaodhani wameitiwa kuwatumikia Watanzania...
Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry.
Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea...
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.
Source: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwanza kabisa nasikitika sana historia ya eneo hili kufichwa au kutokua wazi. Nimepita pita sana kila kona lakini sijawahi kuona hostoria yake.
Kanisa hili lilijengwa na Wajerumani kwa mawe miaka ya 1880. Ujio wa Wamisionari hawa ulitoa fursa kwa Kibosho kuwa na sehem ya ibada, kujengwa kwa...
Urais Zanzibar 2020: Makundi yanavyohaha kuzuia mabadiliko!
1 July 2020
Oktoba mwaka huu wapiga kura wa Zanzibari tutamchagua Rais mpya, akiwa ni Rais wa nane tangu Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964.
Uchaguzi wa Rais Zanzibar mwaka huu pengine utaingia katika rekodi ya namna yake kwani kwa...
Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .
Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati huo huo wakiomba Kura za ubunge .wakati huo huo wafuatao wako mitaani kuomba Kura na kugawa rushwa...
Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja.
Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.