Wanajamii, Salam Alleykum na Bwana Yesu asifiwe sana.
Hivi mbona wasambaa na watu wa Tanga wengi wako hapa mbuyuni, soko manyema, Dar Street, mtaa wa Ismail tena wasomali kama wote, TPC kuna hadi Wanyaki wa Mbeya japo kule ni Moshi Vijijini, watumishi wengi hapa Moshi sasa hivi ni watu wa kanda...