Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika...