Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro.
Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa.
Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni...
Mheshimiwa Sylvester Koka wa Jimbo la Kibaha Aishtaki Serikali Kuhusu Mgogoro wa Mali
Katika hali ya kushangaza, Mheshimiwa Sylvester Koka, Mbunge wa Jimbo la Kibaha chini ya chama tawala cha CCM, amechukuwa (kushtaki) hatua za kisheria dhidi ya serikali, ambayo pia inaongozwa na chama chake...
Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana.
Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza.
Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki.
EATV imeshuhudia uongozi wa Manispaa ya Moshi ukipachika kipeperushi kwenye kila duka kilichoandikwa, "PAMEFUNGWA NA...
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji.
Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la upatikanaji maji limekuwa changamoto kubwa sana kwani maji yanatoka mara moja kwa wiki tena kwa muda...
Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha.
Kundi hilo kwa kumtumia...
Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
Wafanyabiashara wa Moshi wenye malori wamegoma kuingiza malori barabarani baada ya sitomfahamu ya kodi iliopanda pasipo kushirikishwa
Wakiongea kwa uchungu wamesema wao waliitwa wakajulishwa upandaji wa kodi hivi karibuni wakaahidiwa wataitwa viongozi watajadiliana na kuona sh ngapi ya...
mwananchi.co.tz
Moshi kujenga bweni la watoto wa kiume kukabiliana na ukatili
Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo akizungumzia ujenzi wa bweni la wavulana linalojengwa katika shule ya kutwa ya Msandaka iliyopo Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro mara baada ya kulikagua. Picha na Janeth...
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau.
Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..
Ni viburi vya nafasi au vipi?
Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba.
Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
Tarehe 5 September, 1990 Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili (II) na Rais wa Vatican alitembelea Jimbo Kuu Katoliki la Moshi. Hakika ndugu waumini (nikiwemo) tulibubujikwa na machozi ya furaha.
Ni wakati sasa Baba Mtakatifu Francis atembelee tena Jimbo Kuu na Kanisa Kuu la KRISTO MFALME kuona...