Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
Serikali ya Kaunti ya Nairobi imeondoa Geoffrey Mosiria katika nafasi yake ya Chief Officer anayesimamia Public Participation, Citizen Engagement and Customer Service, katika mabadiliko yanayokuja wakati ambapo tayari ametangaza nia ya kuwania ugavana wa Nairobi katika uchaguzi mkuu wa 2027...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.